Mwisho Wa kuomba ni tarehe ngapi naomba unifahamishe mkuu maana anayeomba anatokea nje ya mwanza nifahamishe mkuu nione kama ana uwezekano wa kuwahi nimshtueIntake mpya imeanza, wajulishe wenye uhitaji.
Tarehe 19, this month
Vipi sisi wa mikoani tunapereka barua wapi dar au mwanza?Updates...
Intake mpya ni kuanzia tarehe 3 mwezi December mpaka tarehe 12 mwezi December, kwa wenye vigezo vya awali mnakaribishwa kwa usahili.
Training wing...Updates...
Intake mpya ni kuanzia tarehe 3 mwezi December mpaka tarehe 12 mwezi December, kwa wenye vigezo vya awali mnakaribishwa kwa usahili.
Sasa sie wa mikoan inakuaje na izo ofisi za dar zinapokea maombiView attachment 808369
UPDATE NAFASI MPYA TAREHE 03 MPAKA 12 - December -2018
Kampuni ya ulinzi ya KK Security Tanzania Ltd. Yenye ofisi yake Capripoint mbele kidogo na Kamanga Fery Mwanza na ofisi kuu Mikocheni B Dar es Salaam, Inatangaza nafasi ya kazi Ya ulinzi.
VIGEZO
HATUA
- Elimu: Kidato cha nne na kuendelea.
- Uwezo wa kusoma, kuandika na kuongea kiingereza.
- Umri wa miaka 23 - 42
- Urefu futi 5.7 na kuendelea (kwa wanaume)
- Afya njema
- Asiwe na makosa yeoyote ya jinai
- Awe tayari Kazi Mkoa wowote wa Tanzania.
- Mwombaji Afike na barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono na mwombaji kwa kiingereza
- Nakala za vyeti na vyeti halisi, cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo.
- Barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
- Barua za wadhamini wawili (zipiigwe muhuri kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa juu ya picha na Wasiwe walinzi au wanafunzi).
- Mdhamini awe na kitambulisho halali.
- Mwombaji awe na picha 5 za pasipoti zilizopigwa hivi karibuni
- Mwombaji awe tayari kwa mahojiano na usaili.
Usaili utafanyika kuanzia Tarehe 16 July , Ofisini kwetu Capripoint Mwanza kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni.
Epuka matapeli, Hakuna rushwa ni vigezo tu vinazingatiwa.
UPDATE:
INTAKE MPYA JANUARY 2019 INAENDELEA
WAOMBAJI WENYE VIGEZO WANAKARIBISHWA
KUMBUKA, TARATIBU ZOTE NI BURE HIVYO EPUKA MATAPELI.
Vp walishakuchuja au?
Mkuu deadline ya hii ni lini? maana namna kufika mwanza na kupata makazi ya muda inahitaji maandalizi kdg.Intake mpya inaendelea
Mpaka tarehe ngapi mkuuIntake mpya inaendelea