Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,099
- 24,338
Sera za serikali iliyopo sasa imefanya tufike huko.Ila huwa inanisikitisha namna waafrika tunavyokejeliana. Wamasai kuwa rigid na kudumu ktk mila zao hakuwafanyi wawe mbwigila. Mimi ni mmeru na sijawahi kuwadharau wamasai na wala kabila yoyote ile.
Jimbo la Arumru liligawanywa maana wa-Arusha walikuwa wanaona wanaonewa na Wameru hasa wa Akheri na Poli.
