hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Hawa mkuu wa chuo angekuwa Chenge tu, UDOM ni pachafu mfano hakuna linapokuja suala la ajira.
Sababu ni nn?
Hivi utartb gani unatumika kuitwa interview pale UDOM.either wataweka majina kweny website yao.or kila mmoja atajulishwa kivyake..?
Na huwa inachukua mda gani hadi interview kutok ck ya deadline?
majina wanatoa kwenye website na pia wanakupigia simuHivi utartb gani unatumika kuitwa interview pale UDOM.either wataweka majina kweny website yao.or kila mmoja atajulishwa kivyake..?
Na huwa inachukua mda gani hadi interview kutok ck ya deadline?
UDOM wameanza kuita watu kwenye interview...majina ya interview ya 23rd january yanapatikana kwenye website yao.
Naona website yao haifunguki. Vipi lakini wameita na short list ya academic posts? Au wameanza na za administration?
Academic staff pia wameanza kuitwa kama College ya Informatics and Virtual education wameitwa, Education wanasailiwa Jumamosi College nyingine kwa kada za waalimu kama Earth Sciences ni wiki ijayo so stay tuned!