kwa wale wanaotafuta kazi kuna kazi hii imetangazwa kupitia zoom tanzania usiombe hawa ni matapeli

Sadock Kabuko

JF-Expert Member
Mar 26, 2013
1,166
1,078
Kuna matapeli wanabadilisha majina ya recruitment consultant kila iitwapo leo halafu wanapost nafasi za kazi kupitia zoom tanzania mara nyingi wanakwambia utume hela kwa ajili ya interview kwa mfano kuna kazi hii imetangazwa mwisho tar. 28/02/2017 waliotoa hili tangazo hapa chini ni matapeli
AGRIBUSINESS OFFICERS

Details
Employer Name: ROKALT CONSULTING
Organization Type: Private Sector
Role: Experienced
Position Type: Full Time
Location: Dar Es Salaam
Kinondoni, Kimara
Application Deadline: 28-02-2017
Updated on: 12-02-2017

Description
Download Position Description Document
Application Instructions
Interested candidates are requested to email: (1) Cover Letter (2)Three references (and (3) An updated C.V. to: rokaltconsulting@gmail.com by 28th. February, 2017. -WRITE YOUR PHONE NUMBER AND POSITION IN THE SUBJECT LINE PLEASE ( this is a must )

EPUKA MATAPELI ROKALT CONSULTING SIO KAMPUNI INAYOHUSIKA NA RECRUITMENT KWA KUPROVE HILI INGIA GOOGLE SEARCH JINA LA HIYO KAMPUNI
 
Ndio haohao wanajiita Apex consulting........Shark be aware!. Ni shida sana
 
Agribusiness officers DSM?... kuweni makini jamani, mjini kuna mashamba kwani au ndo biashara ya kulima lami? :mad::mad:
 
dah hao jamaaa wapo wengi mkuu, niliwahi kutuma application letter,cv and those certificate but mwisho wa siku wakanitumia txt kuwa nitembelee email yang na kutuma hela kwa tigo pesa kwa ajili ya interview. sasa basi ndug zangu waanga wa ajila kama mm kitu cha kujiuliza ni hiki
1.hakuna company ambayo huwa inamjulisha muombaji aende kwenye interview eti kwa kumtumia txt, bali huwa company huwa inampigia simu muombaji moja kwa moja na kumpongeza.
2.kingine cha kuangalia ni kampuni gani haina official address
3.cha mwisho ukiona jina la company yeyote kabla hujatuma maombi jaribu ku google hilo jina la company.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom