Ndio hizo mkuu, jamaa nadhani kakosea sio 58 ni 1017Kumbe ni 58
Kuna blog flani wameandika 1017
CCM inogile yaweeeeMambo ya SGR hayo!!
Acha utani wewe.ndio hizo mkuu, jamaa nadhani kakosea sio 58 ni 1017
Vijana chamngamkieni kazi hizo Buku na 17 ,Sie tushafikia umri wa kustaafu!!!Kumbe ni 58
Kuna blog flani wameandika 1017
Hutaki au?acha utani wewe.
Blog ipi hiyo mkuu niitembelee kidogoKumbe ni 58
Kuna blog flani wameandika 1017
Ngerengere ni wapiiiJana nilikuwa Ngerengere, hio kampuni ipo
Mkuu, una elimu gani!?? Unataka sample ya English au Kiswahili!?Vibarua hawataki?
Nifundishe namna ya kuandika cv mkuu
Pitia hapa:Vibarua hawataki?
Nifundishe namna ya kuandika cv mkuu
Kiswahili, ngoja nipite ulikonielekezaMkuu, una elimu gani!?? Unataka sample ya English au Kiswahili!?
Morogoro.Ngerengere ni wapiii