Nafasi za kazi 58 Yapi Markezi

Nafasi za kazi 58 Yapi Markezi

Nasikia hizi kazi it is a sham(show off) kua hua wanaajiri. ngoja tuone.
 
Hizi kazi ziko kipande kipi kwa sasa maana kutoka dar moro tayari wamemaliza
 
Shida ya hii kampuni malalamiko ya kutolipwa mishahara ni mengi sana
kwa watu buku mshahara kuanzia laki 5, pesa ndefu sana hio lazima watikisike
hasa kama serikali haitoi hela kwa wakati
 
Shida ya hii kampuni malalamiko ya kutolipwa mishahara ni mengi sana
Hilo ni la kweli mkuu!! Shida na wao hawalipwi on time na serikali, tena kuna wakandarasi wanao supply huduma na vifaa kwao, wakikusimulia hali zao ki uchumi ni mbaya munooooo! Na kuna migomo sana kwenye huo mradi wa sgr sema ukionyesha kwenye tv, kazi unayo kazima rungu la tcra likuangukie kuwa sio mzalendo!!
 
Wamenijibu kuwa wamepokea maombi yangu na yanafanyiwa kazi...... wanapitia CV na watanipatia mrejesho
Inshu sio, kukujibu kuwa wamepokea, inshu ni kuitwa kwenye usahili na kuanza kazi! Utasubiria sana!!! Huo ni mkakati wa siasa tu hakuna kazi hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom