Myahudi93
Senior Member
- Nov 8, 2019
- 101
- 96
Kama ndo ivo basi hii ni mbungi Kali sana
Kama ndo ivo basi hii ni mbungi Kali sana
Mmmmh haya...Yes zimeongezwa to 500 na kitu hivi
Well Said, nadhan Tuishi hum, haya mengne haya ndo yale ya mbayuwayuHumu saiz nikunyweshana uji wa matumain daily mnalala mnaota mkeka na namna ya kutiana moyo. Tilieni wakuu mambo mazur hayataki haraka mkeka ukitoka kila mtu atajua.
Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
Njoo inbox nikufahamishe ilikuajeMimi nilikua kila nikijaza information nikisubmit narudishwa mwanzo,sikuona inaniambia successful Wala failed ktk kutuma maombi nilirudia zaidi ya Mara 3 kla nikituma narudishwa mwanzo mpaka nikaacha kutuma Ayo maomb yenyew maana sikuelewa nakosea wap maana kila kitu niliweka sehemu znye*
naloli mweImbombo ngafu
Ni kwel maana nimechelewa kuusoma huu uziUlikua hufuatilii huu uzi ndio maana. Maelekezo yote yalikuwa yanatolewa humu ndani.
Baharia kajiongezaNjoo inbox nikufahamishe ilikuaje
Wazee wa hardway missionBaharia kajiongeza
Nakubali sana mwanangu
Lets all take a moment of silent
😀😀😀😀😀😀😀😀Moment of silenceBaharia kajiongeza
Nakubali sana mwanangu
Lets all take a moment of silent
Wakipeana mautamu huko wasije kurudi kulalamika hapa kwenye uzi wetuBaharia kajiongeza
Nakubali sana mwanangu
Lets all take a moment of silent
Hahaha miles 22,lazima ndugu yetu awe makini, kuna double agent na triple agentWazee wa hardway mission
Tuwe wavumilivu kidogo,idara nyeti hii ngoja wapembue wajilizishe.Kuna wadau humu wamesema kuwa mwezi huu. Ngoja tuone
Hahahaaaaa.... Njaanuari hukoSile(nt)nce
Jamani tufurahi kidogo kuwa serious sana haibadili usaili kuwa ni January
Hapo umenena maana kuna watu wasiojulikana watatoka humu humu na kuwa waaajiriwa wa PCCB, sisi tunachotaka kutupa update tu katika uzi huu huu ili wengine pia wapate nafasi za kuingia hukoMkiajiriwa Tafadhalini msije kuutupa huu uzi, mje mtu update mema ya inji.
Ila wee jamaa nadhan Kuna kitu hakipo sawa either kichwan mwako au kuna kitu kimekuathiri kisaikologia kabisa, amin usiamin...