Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Mimi nilikua kila nikijaza information nikisubmit narudishwa mwanzo,sikuona inaniambia successful Wala failed ktk kutuma maombi nilirudia zaidi ya Mara 3 kla nikituma narudishwa mwanzo mpaka nikaacha kutuma Ayo maomb yenyew maana sikuelewa nakosea wap maana kila kitu niliweka sehemu znye*
 
Njoo inbox nikufahamishe ilikuaje
 
Yani Kila nikumbuka kuwa nilisahau ku cerify vyeti uwa naishiwa nguvuu na nakutatamaa kabisa
Bahati mbaya zaidi baada ya kukumbuka kurudi kwenye mfumo wakanambia siwezi kurudia tena ku apply..
 
Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom