Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Yani Kila nikumbuka kuwa nilisahau ku cerify vyeti uwa naishiwa nguvuu na nakutatamaa kabisa
Bahati mbaya zaidi baada ya kukumbuka kurudi kwenye mfumo wakanambia siwezi kurudia tena ku apply..
But kuna jamaa yng yeye alirudia kutuma siku ya pili yake ikakubali
 
Yani Kila nikumbuka kuwa nilisahau ku cerify vyeti uwa naishiwa nguvuu na nakutatamaa kabisa
Bahati mbaya zaidi baada ya kukumbuka kurudi kwenye mfumo wakanambia siwezi kurudia tena ku apply..
Usishangae watakao lalamika humu kuachwa wakawa wale ambao walikizi vigezo vyote haya mambo ni Mung ndo ajuae.

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Sasa mkae mkao wa kula wajukuu wangu at any time Pdf inasoma mtandao kidogo unasumbua mjipange kisaikolojia na kiuchumi maana siyo Jambo jepesi kukaa DOM siku XX kufanya aptude na oral but all in all big up 4 those who applied 4 positions coz application is one thing and being shortlisted is another thing ngoja nikalale babu yenu korokoroni nimetoka zamu usiku nataka kulala jioni nirudi lindo langu kwa kabachori msimwambie Bibi yenu kuwa nime wa tip, ciao!
 
Mtandao unasumbua, umewezaje kuingia jf:):):)
 
babu umetukimbia umetuacha njia panda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom