Nafasi za kazi 2, declaration clerk na operation officer

m-yala

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
68
Reaction score
95
Anahitajika declaration clerk mmoja na operation officer wa kiume... Wawe wazoefu na Kaz sio wa kuelekezwa... Ajue kutoa magari bandarin, loose cargo na container. Atakaeingiza documents kwenye system awe anajua kufanya transit, local, container na loose cargo.

0764423726
 
Kama ukihitaji wa kumfundisha pia niko hapa mkuu sizanj kama itanishinda maana nishakuwa Clerk sehemu
 
Sometime tunaitaji Chance Ili tufanikiwe ,nakumbuka mwaka 2018 nilipata bahati kwenda nchi za ukanda wa Gulf ,ilinichukua miezi 6 kuzoea mazingira hasa Lugha , mphilipino ,mbangali ,muhindi hawaniteti .
 
Kweli kabisa anipe tu nafasi nijifunze baadhi nisivyovijua tufanye kazi
 
Ni kaz gan ambayo Haina training,au ndio roho mbaya.
Labda wanahitaji kuajiri malaika,maana nijuavyo hata uwe mbobevu kiasi gani lazima upewe induction kozi walau ya kujua policy and regulations za kampuni husika ya jinsi kazi zao zinavyofanyika.
 
Mimi Supervisor wangu alinikomesha,nilifanya kazi kiugumu kweli na ndio ilikuwa kazi yangu ya kwanza, It was very tough na ilikua kampuni kubwa sana.thou nilimaster within a week
 
Anahitajika declaration clerk mmoja na operation officer wa kiume... Wawe wazoefu na Kaz sio wa kuelekezwa... Ajue kutoa magari bandarin, loose cargo na container. Atakaeingiza documents kwenye system awe anajua kufanya transit, local, container na loose cargo.

0764423726
Hii tangazo ya kibabe kweli aiseee
 
Mkuu kwanini umeweka jinsia ya kiume tu.
Ungeweka equal chances, kuna wanawake wanapambana hizo kazi nimeona wanafanya hizo kazi 24hours pale gate no 2 na kule ndani kwenye loose cargo.
 
Back
Top Bottom