Nafasi za kaz l

neema pita

Member
Apr 26, 2012
30
6
kampuni ya hotland expedions iliyoko mjini Arusha inatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo

SECRETARY nafasi 5
SIFA ZA MWOMBAJI
awe na elimu kuanzia form four na kuendelea
awe amemaliza masomo ya usecretary
awe anauzoefu na anaspeed katika uchapaji

UDEREVA 10
SIFA ZA MWOMBAJI
awe na elimu kuanzia form four na kuendelea
awe na uzoefu wa kuendesha magari ya tours

mwisho wa kutuma maombi tarehe 15 june 2012

maombi yote yatumwe kwa email expeditionshotland@yahoo.com
 
asante twashukuru,
ngoja tujaribu tukipata ajira tutarud kushukuru tena,
ukiona kimya jua nimeliwa kichwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom