Nafasi za JKT

egentle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
808
Reaction score
389
mzigo kwa wanao hitaji kujitolea JKT, nafasi zimetoka.

Mpaka June duuh mbona mbali sana aisee watu watasugua sana mtaani
 
Pesa serikal haina jaman ndio maana hata intake ya tatu ya wale wa mujibu waliokua wanatakiwa kwenda mwezi wa kwanza nao wameambiwa basii tena hahahahahaa Serikali haina pesa kwa sasa hapana shaka na bado ndo kwanza wahisani wamegoma kuisaidia serikal yetu tena na kwa muono wangu utaratibu wa mujibu wa sheria jkt ni umalizaji wa pesa tuu wala hauna umuhimu saaana usije kukuta hata huo mwezi wa sita wakaahirisha wakiwa wanalimbikiza peaa za uchaguzi
 
Upo sawa man
 
Ni bora uwe mmachinga wa kutembeza bidhaa kuliko kwenda mafunzo ya jkt miaka 2......wengine wameandamana leo hii kushinikiza jeshi liwaajiri
 
Ni bora uwe mmachinga wa kutembeza bidhaa kuliko kwenda mafunzo ya jkt miaka 2......wengine wameandamana leo hii kushinikiza jeshi liwaajiri

Hahahahaha wanalazimisha kuajiriwa kama hawana sifa je au kama heshi halina uhitaji wa kuajiri wa mda huo au hata fedha hawana jee hiii nchi bana na hawa jkt wangekua wastaarabu wachujue vijana wachache ambao wataajirika badae maana wanachukua weengi mwisho wa siku warudi mtani wanawapa kazi police kupambana na majambazi wasio na ajira buree so wasichukue kwa prestage kwa madai kua wanafundisha vijana wajiajiri kwa Tanzania bado sana iyo sera ya kujiajiri bado sana hata wakalale wanawapeleka shambani walime mwaka mzima vijana kujiajiri bado essence ya vijana kujiunga na jkt si kwaajiri ya kujifunza kujiajiri ni kutafuta furusa ya kuja kuajiriwa na vyombo ya ulinzi na usalama tusidanganyane hapa.
 
Nimeona kwenye taarifa ya habari leo kuwa wahitimu wa jkt wameandamana leo Dar hawaja ajiriwa baada ya kuhitimu mafunzo

Tupe source plz mmmh nipo dar lakin cjackia iyo
 
Ni bora uwe mmachinga wa kutembeza bidhaa kuliko kwenda mafunzo ya jkt miaka 2......wengine wameandamana leo hii kushinikiza jeshi liwaajiri

Jeshin kuna kuandaman??? strange
 
Ni bora uwe mmachinga wa kutembeza bidhaa kuliko kwenda mafunzo ya jkt miaka 2......wengine wameandamana leo hii kushinikiza jeshi liwaajiri

Mi mdogo wangu ana mwaka wa pili yuko tu anasubiri ajira.jkt haiko fair kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…