Nafasi za jkt

Nafasi za jkt

Bongoclever

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
105
Reaction score
11
Habari wana Jf?
Naomba msaada kwa hili,
Nafasi za JKT zinatoka tena mwezi gani?
Msaada kwa anaefahamu.
 
Makao makuu mbali.' nenda kwenye ofisi za wilaya uliyopo. Ofisi za mgambo ndo kunahusuka na jkt.
Utapewa majibu bila tatizo. Ila kama ni dar nafasi ni mwez wa saba au sita mwishoni.
 
Kuwa karibu na ofisi dc utapata habar muda ukifika ila sidhani km kuna ajira jkt inatumika km njia ya kwenda jwtz na polisi
 
Nenda kwa Mshauri wa Mgambo
aliye jirani na hapo ulipo pia kama
uko Wilayani/Mkoani wanapatikana
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ama Mkoa
hapo utapata ufafanuzi mzuri sana.
 
nafasi za jkt zishatoka mwezi wa kwanza mpaka wa pil watuwakaondoka na sasa wapo mafunzoni subilia mwakani ndiyo zitatoka tena.
 
nafasi za jkt zishatoka mwezi wa kwanza mpaka wa pil watuwakaondoka na sasa wapo mafunzoni subilia mwakani ndiyo zitatoka tena.

Alichozungumza huyu ndugu ndio ukweli mtupu, vijana walishaondoka tangia mwezi wa 3 mwanzoni kama sijakosea hivyo kwa mwaka huu umeshachelewa
 
Alichozungumza huyu ndugu ndio ukweli mtupu, vijana walishaondoka tangia mwezi wa 3 mwanzoni kama sijakosea hivyo kwa mwaka huu umeshachelewa

Kama unasubiti jwtz moja kwa moja utasota sana ndugu jamaa ni nadra sana kuchukua watu moja kwa moja lazima ukibali kupitia jkt(miezi 6) zen ueande tpdf(miezi 4) baada ya hapo ndio upiganie tma kwenda kuvaa nyota
 
mbona nimepata taarifa jana kwamba nafasi zingine zitatoka mwezi wa 5? Au ni uzush?
 
Jkt kwa mwaka hua wanakua na intek 2 yan awamu mbil za mafunzo kuna wale waliondoka mwez wa 3 mpaka sasa wapo mafunzon, nafas zjazo ni ztakazo toka mwez wa 5 mwshon au wa 6 ambao mafunzo yataanza mwez wa 9 mwaka huu, tht ts infor toka wilayan kwetu, tujiandae walengwa nafas ztatoka mwez wa 5 mwshon o wa 6
 
Ok.na jkt yenu na ajira zenu za watoto wa maofisa wa jeshi na viongozi wa lichama la magamba na liserikali.
 
Makao makuu mbali.' nenda kwenye ofisi za wilaya uliyopo. Ofisi za mgambo ndo kunahusuka na jkt.
Utapewa majibu bila tatizo. Ila kama ni dar nafasi ni mwez wa saba au sita mwishoni.

Vp kuhusu TMA kwa mafunzo ya Cadet,nafasi hutoka lini na upatikanaji wake?msaada please nina bwana mdogo kamaliza chuo anataka kwenda huko........
 
Back
Top Bottom