chapakazi878
Member
- Apr 28, 2013
- 20
- 5
sasa yawezekana JKT uingie na usiingie JWTZ? au inakuwa ni option? naomba ufafanuzi mkuu
Kafman siku hizi ni lazima
upitie kwanza JKT
jaman nami nazitamani sana hzo nafac kwan naelekea kuhitim shahada ya kwanza na bado cjajua wap ntaelekea..... tuambizane zikitoka wadau.