Nafasi za jeshi!

Nafasi za jeshi!

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
812
Reaction score
396
wakuu kwa anayefahamu hvi kuna intake yeyote ya jeshi eidha Jkt au JWTZ ndani ya mwezi huu?!
 
tetesi hzo ndugu hata mim nliambiwa ths month post znaweza toka o wengne wanasema mwez wa 12 kwa post za jkt so dilema tu hapa, lets tuwasikilze wadau wengine
 
sawa mkuu!! Maana pia nilickia nafasi za proffesional wanatoa mwezi huu
 
mkuu kuna mtu yupo jikon kanitonya nafas za proff zmetoka ktambo ila ni kmyakmya haitangazw hyo ndugu wew kam una mtu wa kukushka mkono chonga nae, ila jkt uhakika mwez wa 12
 
Mkuu,niko na mtu mkubwa 2 jikoni huko,kadai nafasi za proffesional ilikuwa zitoke mwez uliopita ila zimechelewa na wanaweza kutoa mapema mwezi huu!
 
haya mapishi mengi yatatuharibia mchele wetu!
 
for mor infor tembelea jwtz makao makuu ngome upanga or jkt mlalakua mikochen
 
Mimi nahitaji na shahada 2 za uchumi watani chukua kweli

Hongera kwa usomi wako ,kwa masters yako ya uchumi ukibahatika kuingia jeshin ,utaenda kusoma TMA yaani tanzania military academy ,utapata nyota moja yaani luteni usu ,baada ya miezi sita utapewa nyota ya pili yaani luteni ,then nyota ya tatu yani captain,, kama una masters ya uhandisi na fani za sayansi utapata cheo cha meja ,
 
Samahan mkuu kwa mwenye degree kigezo cha umri, mwsho wa kuomba miaka mingap?plz nsaidie
 
Ukiwa na taaluma ya udaktari (physician) mpaka miaka 35 tena wanakudaka haraka sana , taaluma nyingine zina changamoto kidogo kwani wenye fani za Arts ni wengi japo wanaweza kuchukua mpaka 32yrs
 
naxubir nafasi kwa ham kubwa!!! Haijalishi ni jkt,jwtz,jku,or wot!! Shida ni kuwa mwanausalama
 
Aliyetari aliwe ili badae nae ale,aniPM nmpe mchongo.
 
Back
Top Bottom