Nafasi za jeshi!

Nafasi za jeshi!

Ukiwa na taaluma ya udaktari (physician) mpaka miaka 35 tena wanakudaka haraka sana , taaluma nyingine zina changamoto kidogo kwani wenye fani za Arts ni wengi japo wanaweza kuchukua mpaka 32yrs

Hivi mkuu sio mwisho 25yrs kwa other professions apart from udaktari?
 
Mara nyingi professionals huwa mpaka 30+
Laikini kwa wale Non-professionals ni 20-25
 
Back
Top Bottom