BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 910
- 2,165
Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post.
Hivi Ni KWELI jman??
Hivi Ni KWELI jman??
Sidhani kama ni kweli au ni wale matapeli wamemuingiza mjiniKuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post.
Hivi Ni KWELI jman??
Kwan huyo alie kujulisha yeye kakupa maelezo gani ya ziada zaidi ya kuwa amechaguliwa?Kuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post.
Hivi Ni KWELI jman??
Bila watu kama yeye dunia haiwezi kwendaKuna mtu kaniambia kuwa nafasi zimetoka za jeshi na yeye kajaza ameshachaguliwa anasubiri post.
Hivi Ni KWELI jman??
bila shaka,, katapeliwa huyoo,,, mm mwenyew kutwa meseji kama hizo wananitumiaatakuwa katumiwa ujumbe na wale tapeli wa kujifanya wakuu wa jeshi
pole yake mm nikitumiwa ya hivo namuuliza zipo ngapi nije huwa sijibiwi tena yaanbila shaka,, katapeliwa huyoo,,, mm mwenyew kutwa meseji kama hizo wananitumia
Ni kuandikishwa hasajiliwi mtu paleMe huwa nadhani jeshini hamna nafasi za kazi,labda kusajiliwa.