Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 8,988
- 11,862
Kama unasoma kozi yoyote ya afya (health-related course) na unatafuta Internship Opportunities, ingia hapa:
đź”— Link: LinkedIn
Fursa hii inafaa kwa:
i. Wanafunzi wa mwaka wa mwisho (Final year students)
ii. Wahitimu wapya (Recent graduates)
iii. Wataalamu wenye uzoefu wa miaka 2–10 katika sekta ya afya (Health Professionals)
Maeneo ya kipaumbele ni pamoja na:
i. Mifumo ya Afya (Health Systems Strengthening)
ii. Utafiti na Ubunifu (Research & Innovation)
iii. Mawasiliano na Utetezi (Communication & Advocacy)
iv. Afya ya Akili (Mental Health)
v. Mabadiliko ya Tabianchi na SRHR
vi. Lishe (Nutrition)
vii. Usimamizi wa Rasilimali Watu (HRM)
viii. Magonjwa yasiyopewa kipaumbele (NTDs)
ix. Na mengine mengi
Kozi zinazohusika ni pamoja na:
i. Public Health
ii. Medicine and Surgery
iii. Nursing
iv. Environmental Health
v. Medical Laboratory Sciences
vi. Health Systems Management
vii. Nutrition and Dietetics
viii. Mental Health / Psychology
ix. Social Work
x. Pharmacy
xi. Epidemiology
xii. Reproductive Health
xiii. Global Health
xiv. Health Policy and Management
xv. Na nyingine zinazohusiana na afya ya jamii na maendeleo ya kiafya
Mwisho wa kutuma maombi: 25 Julai 2025