arusha sema
Member
- Oct 18, 2013
- 14
- 0
Wana bodi,
Natafuta nafasi ya internship ya marketing kwenye makampuni ya simu , ndo napiga Masters ila kwa sasa ( MBA in Marketing) nimeshamaliza course work ndo nafanya reserach kwa sasa. Je mimi nipo Arusha nahitaji kufanya Vodacom au Airtel application natuma makao makao makuu Dar au ofisi zao hapa Arusha?
Anaye fahamu utaraibu mzuri naomba anielekeze.