Nafasi za hiari za jeshi 2022-2023

Nafasi za hiari za jeshi 2022-2023

Mjomba mkata maneno

New Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
4
Reaction score
10
Nataka kujua kuhusu jeshi especially nafasi za kujitolea kwa mwaka huu 2022-2023 , kama kuna mtu anaye fahamu uwezekano wa kutoka Upo Au lah na kama Upo wanatoa lini, to my side nachojua every year june wanaenda for
Six walichaguliwa kwa mujibu , je nafasi za za hiari za jeshi zitatoka kabla ya mwezi wa sita or baada ya mwezi wa sita
 
tafuta pesa dogo
 
tafuta pesa dogo
.
IMG_20220116_124158.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Not everyone you see wants to go to the army or police & you think that he has no job or education some wants to go because it’s was one of their dream to serve their county through army or police so before you say anything rubbishy thinks before you comment
Huna lolote unafuata vijiposho vya laki3
 
In this world not everyone can support what you believe,everyone will say what they believe in their side for me no matter what you say I will continue to stand on what I believe and not what people think,your phone is yours And also bando is also yours so no one stop you to say what you think but remember this you maybe an adult but you maybe overwhelmed by younger child because of your negative thoughts & always unwise people often think bad things on people’s believes
 
Nataka kujua kuhusu jeshi especially nafasi za kujitolea kwa mwaka huu 2022-2023 , kama kuna mtu anaye fahamu uwezekano wa kutoka Upo Au lah na kama Upo wanatoa lini, to my side nachojua every year june wanaenda for
Six walichaguliwa kwa mujibu , je nafasi za za hiari za jeshi zitatoka kabla ya mwezi wa sita or baada ya mwezi wa sita
Ni za jkt but kuna watu wapo tokea 2019 na wanataka kuwarudisha nyumbani japo kuna ajira zilitoka ila kama kawaida yetu wa Tz wakapeleka watoto wao vijana wanasubiri mda uishe arudi nyumbani aanze upya na alie muacha mtaani amesha songa mbele kiasi wao wanaanza kuulizia michongo upya angalau wangekua wanawapa hata mtaji.
 
Mkataba unasema jkt aitoi ajiraaa
 
Back
Top Bottom