Nafasi za field kwa logistic

Nafasi za field kwa logistic

Keo Chama

Member
Joined
Aug 10, 2019
Posts
23
Reaction score
46
Kama kuna mtu yoyote anaifahamu kampuni au taasisi ambayo bado inapokea wanafunzi wa field kuhusiana na mambo ya logistic asisite kunijuza. Tadhalini wakuu 0692648678
 
Vipi mkuu corse ya logistics wanalipa ada bei gani kwa diploma level?
 
Back
Top Bottom