NESARA1952
Member
- Jun 5, 2023
- 9
- 24
Shukrani kiongozi kwa kurudisha fadhila.Habari wadau wa JF,
Mimi ni mdau mwenzenu ambaye nimekuwa sehemu ya jukwaa hili kwa muda mrefu. Kupitia JF nimejifunza mambo mengi, nimeongeza maarifa na ujuzi muhimu, na pia nimepata fursa zilizonisaidia kujikwamua kiuchumi. Vilevile, mijadala na simulizi mbalimbali zinazoshirikishwa hapa zimekuwa chanzo cha faraja na motisha kwangu kwa kipindi kirefu.
Moja ya mafanikio makubwa niliyoyapata kupitia JF ni kupata nafasi ya kufanya kazi katika Mradi wa Bomba la Mafuta la EACOP, ambapo bado ninaendelea na kazi hadi leo.
Kwa kutambua mchango mkubwa wa jukwaa hili katika maisha yangu, nimeona ni vyema nami nirudishe fadhila kwa kushirikisha fursa za ajira zinazopatikana katika kampuni yangu, Winga Pro Limited, inayojihusisha na huduma za Digital Marketing, ICT, Network Provision, Software & Digital Innovations, pamoja na huduma nyingine za teknolojia.
Nafasi za kazi zinazopatikana ni:-
Usaili utafanyika kati ya tarehe 26 hadi 31 Julai, 2026. Tarehe na muda kamili wa usaili utawasilishwa kwa waombaji watakaokuwa wamechaguliwa baada ya kutuma maombi yao.
- HQ Director – Nafasi 1
- Branch Directors – Nafasi 10
- Finance Officers – Nafasi 20
- Business Staff – Nafasi 10
- Marketing & Sales (Corporate Sales) – Nafasi 150
- Technical Team – Nafasi 20
Jinsi ya kutuma maombi:
- Tuma CV yako pekee kupitia WhatsApp: 0672 256 602.
Muhimu:
- Usitoe rushwa ili kupata ajira.
- Hakikisha unatuma maombi yako kabla ya tarehe 26/07/2026.
- Usaili utafanyika Dar es Salaam.
- CV pekee inatosha kwa hatua ya awali ya maombi.
Karibu sana. Tunawatakia kila la heri waombaji wote.
Bakari Semkiwa
Chief Executive Officer (CEO)
Winga Pro Limited
MUNGU wa Mbinguni akubariki sanaHabari wadau wa JF,

Huamini?😁😁😁. Kampuni mpya kuanza na idadi kubwa hivyo ya wafanyakazi ni jambo la kushangaza kidogoFinance officers 20 wanakuja kufanya kazi gani hapo kwenye kampuni yako mkuu?
Mi nilitamani hiyo ya marketing, lakini upande wa digital marketing. Nahitaji kuongea na wewe. 0704078110Habari wadau wa JF,