Nimeziona mkuu,
Nimeishia kuzitamani Tu.
Miye ni Kiswahili & Linguistics.
dah ww jamaa ni cheenga sana hahahNashauri anzisha chuo chako mwenyewe .
Hyo G.P.A ni ndogo sana imekaribia sana kwenye cutoff 3.8. Ukicompete na mwenye 4.5 first class umeshapotea mkuu. Ila nisikuvunje moyo pambana huwezi jua bahati yako. Ila ukiweza fanya masters ukiweza pata >4.0 GPA utakuwa umeongeza likelihood kwa 40%
Nadhani umesahau kidogo kiongozi. Mwanzoni vyuo vya serikali vingine ilikua ni lazma uwe na angalau GPA ya 3.8 ya undergraduate ila kwa sasa (kama sijakosea ni kupitia tangazo la wizara la mwanzoni kabisa mwaka huu) masharti yalirahisishwa hadi kuwakubali wa kuanzia GPA ya 3.5Umesoma wapi na umesoma nini? Kulingana na policy ya sasa minimum gpa ni 3.8. Kwa hiyo una qualify. Kama unaweza soma master degree kupata nafasi inaweza kuwa nyepesi kidogo. Kwa sasa vyuo vingi wanapendelea kuajiri kuanzia master degree.
Hata hivyo nafasi wakati mwingine zinapatikana. Mungu akutane na haja yako.
Hili siliungi mkono kwa maana kwenye post za ukufunzi kinachoozingatiwa ni uwezo wako binafsi wa ku'deliver. Endapo umekidhi vile vigezo vya awali na ukaitwa interview, basi chance ya kila mmoja huko mbele itaamuliwa kwa uwezo binafsi wa kuishawishi panel ya interview.Hyo G.P.A ni ndogo sana imekaribia sana kwenye cutoff 3.8. Ukicompete na mwenye 4.5 first class umeshapotea mkuu. Ila nisikuvunje moyo pambana huwezi jua bahati yako. Ila ukiweza fanya masters ukiweza pata >4.0 GPA utakuwa umeongeza likelihood kwa 40%
ulishaona kwenye interview wanafanya hio kitu inaitwa uwezo wa kufundisha?. Chuo hutumia GPA kama kigezo cha uwezo wa mwanafunzi. Zamani ilikuwa mwenye GPA kubwa ndo wanabaki kufundisha ila serikali ikaleta utaratibu wa interview na hii desturi ya kuangalia GPA bado inafanyika na pia chuo ulichosoma kina score kubwa sana kwenye nafasi hizi. Hii naongea from experience sio nakisia. GPA ya 4.4 ya udom ni tofauti kabisa na 4.4 ya UDSM, in terms of weighting. usiniulize kwa nini.Hili siliungi mkono kwa maana kwenye post za ukufunzi kinachoozingatiwa ni uwezo wako binafsi wa ku'deliver. Endapo umekidhi vile vigezo vya awali na ukaitwa interview, basi chance ya kila mmoja huko mbele itaamuliwa kwa uwezo binafsi wa kuishawishi panel ya interview.