Nafasi ya Scholarship kwa Msichana aliyesoma PCB

Nafasi ya Scholarship kwa Msichana aliyesoma PCB

Joined
Nov 15, 2012
Posts
38
Reaction score
70
Habari wadau!
Natafuta msichana aliyehitimu kidato cha Sita mwaka 2013 na kupata daraja la I-III katika masoma ya Biolojia, Kemia na Fizikia (PCB) kwa ajiri ya ufadhiri wa masomo ya elimu ya juu.
Msichana huyu lazima awe anatoka Wilaya ya Ukerewe.

Tuwasiliane kwa namba hii. 0766764807
 
Nafasi,ipo moja sasa wakija wengi nani atawafanyia usaili, na usaili utafanyika wapi?
 
Ama kweli scholarship alf unataka wa ukelewe si uende huko kisiwani utampata kirahisi
 
Habari wadau!
Natafuta msichana aliyehitimu kidato cha Sita mwaka 2013 na kupata daraja la I-III katika masoma ya Biolojia, Kemia na Fizikia (PCB) kwa ajiri ya ufadhiri wa masomo ya elimu ya juu.
Msichana huyu lazima awe anatoka Wilaya ya Ukerewe.

Tuwasiliane kwa namba hii. 0766764807
Ukabila @ Work
 
Ni sawa tu. Mbona kuna scholarship for tanzania, ethiopia etc? Inawezekana amelenga lengo fulani kuikomboa hiyo sehemu. Tatizo langu ni uwazi kuhusiana na hiyo scholarship
Ukabila @ Work
 
Habari wadau!
Natafuta msichana aliyehitimu kidato cha Sita mwaka 2013 na kupata daraja la I-III katika masoma ya Biolojia, Kemia na Fizikia (PCB) kwa ajiri ya ufadhiri wa masomo ya elimu ya juu.
Msichana huyu lazima awe anatoka Wilaya ya Ukerewe.

Tuwasiliane kwa namba hii. 0766764807

Ya kweli ayo au ni gia ya kupata mke?
 
Nashukuru kwa mwitikio wenu. Nimepata wawili.nitawasilisha majina yao kule wanakohitajika..
 
Mpaka sasa nimepokea majina ya watu wawili! Nawashukuru wote mlioniamini na kuonesha ushirikiano. Nimepokea comments nyingi. Baadhi zinaonekana hapo juu. Jamii Forums ina mambo mengi sana na watu wa aina tofauti. Kuna baadhi isia zao ni hasi zaidi, na mmoja wao amenipigia simu akielekea kunishutumu kuwa mimi nitapeli. Nimeichukua hali hii kama changamoto.

Naendelea kupokea mawazo yenu chanya.

Kuna 'issue multiple ID' imezuka baada ya mtu anayejiita Jiwe la Ukara ku-respond. Mambo haya na watu kama 'Jiwe la Ukara' ni kwaida hapa Jamii Forums. Ni wachache tunaothubutu kutumia majina yetu halisi.

Asanteni.

Martin Majula Malima
 
hongera kwa kujali nyumbani kwenu. next time ukipata nyingine uwakumbuke na wamaeneo mengine
 
Back
Top Bottom