Nafasi ya Mwanamke katika Mahusiano au ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya Mwanamke katika Mahusiano au ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIMING, Mar 31, 2011.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wadau

  Leo asubuhi nilikua nasikiliza radio nikasikia huko Ujerumani bunge lina mpango wa kujadili nafasi ya mwanamke nyumbani na pia namna ya kuongeza au uwezekano wa wanaume kuwa more involved na kazi za majumbani... Rai hii imetolewa na wanawake huyo German

  Nimepata maswali mengi sana kuhusu nafasi na wajibu wa hizi jinsia mbili kwenye maisha ya kila siku

  Siku hizi usipoweza kupika, kufanya usafi nk unaambiwa hujali au sio romantic...lakini ukimuomba mansapu japo kidogo aende akasimamie vitofali, au kupakua mzigo sehemu au kulinda ulinzi jamii inakua tabu

  How best can we motivate men to be more invoked in domestic assignments?
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  MTM....mbona kama hizo shughuli ulizozitaja wanawake wanazifanya sana tu, labda wawe wale wanawake kudeka/kujihic haendani na hizo kazi, lakini mwanamke wa kawaida kweny haya maisah atafanya kila kitu kujikwamua then ujue hakuna kazi zinazochosha kaam kazi za ndani Mtm NDIO MANA TUNAOMBAGA USAIDIZI...chukulia mama aliejiajiri/mfanyakazi atoke huko aje home kuna kufanya hiki na kile, kuwaangalia watoto/kupika/kufua ki ujumla kuihudumia familia bado hujamhudumia baba ucku ni kazi pevu(hapo nazungumzia mwanamke wa kati sio wale wenye uwezo wa kuweka maids 2 ndani)...hapo huoni kabisa huyu mwanamke atahitaji usaidizi wako?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks Nyamayao... ukisoma post utaona kwamba nazungumzia women want more involvement of men in domestic activities... would the same be applied to women kwa zile kazi za nje wanazofanya akina baba?
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  MTM bana wanawake siku hizi wanafanya kila kazi hiyo kusimamia tofali mbona cha mtoto au kupakua mzigo vitu vidogo hivyo mkuu wanaume wakiosha vyombo ni mara moja moja tu kwa mapenzi si kila siku jamaa anaonsha vyombo, anapika anafua nk

  Lakini kama kuna mtu anapika na kuosha vyombo kila siku akiwa mwanaume huyo ana lake jambo katika nyumba yake si rahisi na huyo mwanamke anayefanya hivyo si sawa (kwa uapnde wangu lakini)
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...bro, mada yako nzuri sana. Tatizo ni Mila na Tamaduni zetu wabantu zinakubaliana na hayo?

  Kwanza, Shida ni pale mke anapolalamika unamuingilia majukumu yake! Majukumu ambayo kwenye unyago
  amefundishwa anastahili kumfanyia mumewe.

  Pili, ni majukumu ambayo siku mawifi/wakwe na mashemeji wakiona Mke hayatekelezi, (huyo Mke) anastahiki kushtakiwa, kuachwa (kwa uvivu), au hata Mume kuruhusiwa kuoa mke mwingine ambaye huenda atakuwa na sifa mbadala.

  Binafsi nadhani hatuna haja ya kuiga tamaduni za wenzetu. So long as na uwezo wa kujipikia ugali, kujifulia nguo na kusafisha chumba changu,...kumsaidia majukumu Mke wangu (kazi za nyumbani) ni ziada tu, isiwe ni lazima.
  Kama ameelemewa, basi sina budi kumtafutia msaidizi wa Nyumbani iwapo uwezo unaruhusu.
   
Loading...