Nafasi ya MUUZA DUKA

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Awe na uwezo wa kupga hesabu na anaexprience ya kuuza cjin ya miaka 5 na hajawah kuiba chochote dukan wala kuonga na awe na degree ya account
 
Bora mmemuuliza manake naona hakuna maana ya kuwa na degree sasa?duka gani?Murefu wenzio wako serious.........LOL
 
Duu hii dharau sasa...Muuza duka awe na degree...Inabidi saa zingine tuwe serious kidogo!
 
kwa mufupi juu ya nini pale!!!

images
 
Awe na uwezo wa kupga hesabu na anaexprience ya kuuza cjin ya miaka 5 na hajawah kuiba chochote dukan wala kuonga na awe na degree ya account

Angalia sana kutafuta muuza mwenye experience....unaweza pata mwenye experience ya kukuibia. Kazi kama ya duka haihitaji experience yoyote kwa mtazamo wangu, kigezo cha kujua hesabu tu kinatosha..... KUNA WALAKINI WA KUPATA SIYE NDIYE.....

Hayo ni maoni yangu tu lakini
 
unachokisema ni kwel ila wanaJF niliwah kwenda kariakoo kwny maduka ya hardware wakaanza kuniuliza mambo hayo nilio andika hapo juu waliwah kutoa kwny gazet la nipashe mm nikaona bora nikazuge wakaanza kuniletea michongo co ndo wanataka vgezo hvyo je wewe utafanyeje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom