Nafasi ya Mipango katika ukuaji wa uchumi wako.

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
282
272
Unapoongelea mafanikio ni lazima uguse uchumi na unapogusa uchumi unaigusa serikali na mtu mmoja mmoja,hivyo suala la uchumi ni mtambuka sana lakini linasimamiwa na mipango thabiti, weka mipango ambayo itakuwa rafiki na ukuaji wa uchumi wako usijofanyie mpango ambao unaweza kuwa mzigo kwa namna moja ama nyingine kwako na kwa kile unachokifanya hivyo jitahidi sana kusimamia mipango yako kwa ukuaji wa uchumi wako.

[HASHTAG]#maishanihayahaya[/HASHTAG] wa kubadilika ni wewe tu ,

ungana nami katika mitandao ya kijamii kupata elimu zaidi

uchumi.jpg
 
Back
Top Bottom