Kowak Girls' High School, shule bora kabisa kwa sasa kanda ya ziwa. Karo yao ni nafuu, in shilingi milioni mbili kwa mwaka na inalipwa kwa awamu nne. Godoro na kitanda, na chakula vinapatikana shuleni bila gharama za ziada.
Kwa maelezo zaidi piga; 0767021662