Nafasi ya mapishi katika mapenzi.

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,527
Reaction score
3,345
Janan wana MMU upande huu wengi wanaposti habari za kugegedana na mengine yanayo husu hayo
Ila wenzangu hebu mtaalamu wa KUPIKA CHAPATI anipe data mana mimi naweza kupika chapati ila mbona hazina mvuto yaan chapati inakua lain ikitoka2 jikon ikikaa nusu saa mmm kaukau hebu nipen mambo nimpikie shemeji yenu chapati kwa kujiamini jamani
 
Post Kwenye jukwaa la jf chef,wadau wa kule wanajua sana kupika
 
Mkuu bora umejisemea ukweli mtupu kuwa upande wa hicho kitengo chakuchopoa hauko vizuri lakini nenda jukwaa la mapishi pale thread nyingi sana kuhusu kupika chochote naamini utajifunza kile unachokosea halafu huyo shem wangu atafurahia dikodiko lako.

Suala la mapishi ni nyeti sana katika maisha hasa unapokuwa na wenzako maana watu wengine huwa kamwe Mgahawani ama Hoteli ni kwa dharura tu lakini muda mwingi anakula nyumbani ,inapotokea mfano kupika hujui inakuwa kazi sana.
 
Mi najua kusonga ugali na mwiko ulokaa kama ndizi mzuzu...

Je wapenda nikufunzwe?
 
Soma title bi mkubwa utaelewa twalonga mapishi gani hapa...mapishi yasohitaji jiko lakini ukuni watakiwa...

ohoooooo nimekupatapata inaelekea wewe unajua kila aina ya mapishi
itabidi umpe mtoa mada darsa maridhawa
 
Nenda the chef kuna mi recipe na tips kibao.
 
Tafuta mama ntilie jirani alafu mwambie akupe tuition kwa tshs elfu 2
 
Chapati za chai wapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…