Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,569
- 284,101
True !
Hivi makamu wa Rais anatishwa na Mrisho Gambo !Dr.Omary.A.Juma was a functioning vice president hawa tu tunaopewa sasa ndo wanatatzo even shein he was to some extent
Hata hivyo haitakiwi kutumika kudhalilisha watu wazima .Umakamu wa rais ,ni kuibeba zanzibar tu,,ila vijana wakikua wataamua vema.
Kwahiyo......
Makamu wa Rais ni Rais spare?
Umenikumbusha Naibu Waziri Mkuu Augustine Lyatonga Mrema hadi natamani cheo hicho kiwekwe kwenye katiba!Ilikuwa hakuna kulala.wao wenyewe wanashindwa ku exercise powers vested upon them.
Wanipe mie ndo watajua makamu wa rais ni nani na anamlaka gani.
Modus operandi of things now ni the GoT na CCM anything is possible ila i think mama samia plays by the book vizur mnoHivi makamu wa Rais anatishwa na Mrisho Gambo !
Nafasi Za wakuu wa mikoa pamoja na wakuu wawilaya zifutwe
Salaam,
Natambua kwamba nafasi ya Makamu wa Rais imetajwa katika Sehemu ya Pill ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 47(1) nanukuu Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye ndiye atakuwa msaidizi mkuu wa rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla na hususani.
a) atamsaidia rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku hats siku za mambo ya Muungano
b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na rais
c) atafanya kazi zote za rais kama rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.Mwisho wa kunukuu
Tangu tuanze kuwa na makamu wa rais asiye rais wa Zanzibar pia, nafasi hiyo imekuwa mama ya kuwafurahisha watu wa Zanzibar, haina nguvu wala mvuto. Waziri Mkuu anaonekana kama anamsaidia rais vizuri na kwa ufanisi zaidi kuliko makamu wake, Ana sauti, nguvu na mamlaka.
Akitoa maagizo yanafuatwa. Kuna haja gani tena ya kuwa na makamu wa rais? Ni matumizi mabaya ya rasilimali, tunapoteza fedha. Naona ofisi ya makamu wa rais ina waziri anayeshughulika na Muungano na Mazingira.
Mazingira ni active zaidi kuliko muungano. Makamu wa Rais ni kama anapuuzwa. Fikiria kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,anagoma kutekeleza maagizo ya bosi wake kuhusu itifaki inakuwaje?
Nafasi hii napendekeza ifutwe. PM anatosha.
Makamu wa Rais popote pale yupo kwa ajili ya kutwaa madraka,endapo Rais hatokuwepo madarakani kama ilivyoainishwa kwenye katiba.Hiyo ndio kazi ya makamu wa Rais,mengine ni ziada tu atakazopewa na RaisSalaam,
Natambua kwamba nafasi ya Makamu wa Rais imetajwa katika Sehemu ya Pill ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 47(1) nanukuu Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye ndiye atakuwa msaidizi mkuu wa rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla na hususani.
a) atamsaidia rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku hats siku za mambo ya Muungano
b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na rais
c) atafanya kazi zote za rais kama rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.Mwisho wa kunukuu
Tangu tuanze kuwa na makamu wa rais asiye rais wa Zanzibar pia, nafasi hiyo imekuwa mama ya kuwafurahisha watu wa Zanzibar, haina nguvu wala mvuto. Waziri Mkuu anaonekana kama anamsaidia rais vizuri na kwa ufanisi zaidi kuliko makamu wake, Ana sauti, nguvu na mamlaka.
Akitoa maagizo yanafuatwa. Kuna haja gani tena ya kuwa na makamu wa rais? Ni matumizi mabaya ya rasilimali, tunapoteza fedha. Naona ofisi ya makamu wa rais ina waziri anayeshughulika na Muungano na Mazingira.
Mazingira ni active zaidi kuliko muungano. Makamu wa Rais ni kama anapuuzwa. Fikiria kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,anagoma kutekeleza maagizo ya bosi wake kuhusu itifaki inakuwaje?
Nafasi hii napendekeza ifutwe. PM anatosha.
Unashangaa hio, rais wa Zanzibar kuwa waziri Asië kuwa na wizara maalum, ni kuidhalilisha kiti cha urais wa Zanzibar, jengine hakuna kazi yoyote anayo fanya waziri na kama ipo watueleze, kazi kupoteza rasilimali bure.Salaam,
Natambua kwamba nafasi ya Makamu wa Rais imetajwa katika Sehemu ya Pill ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 47(1) nanukuu Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye ndiye atakuwa msaidizi mkuu wa rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla na hususani.
a) atamsaidia rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku hats siku za mambo ya Muungano
b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na rais
c) atafanya kazi zote za rais kama rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi.Mwisho wa kunukuu
Tangu tuanze kuwa na makamu wa rais asiye rais wa Zanzibar pia, nafasi hiyo imekuwa mama ya kuwafurahisha watu wa Zanzibar, haina nguvu wala mvuto. Waziri Mkuu anaonekana kama anamsaidia rais vizuri na kwa ufanisi zaidi kuliko makamu wake, Ana sauti, nguvu na mamlaka.
Akitoa maagizo yanafuatwa. Kuna haja gani tena ya kuwa na makamu wa rais? Ni matumizi mabaya ya rasilimali, tunapoteza fedha. Naona ofisi ya makamu wa rais ina waziri anayeshughulika na Muungano na Mazingira.
Mazingira ni active zaidi kuliko muungano. Makamu wa Rais ni kama anapuuzwa. Fikiria kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,anagoma kutekeleza maagizo ya bosi wake kuhusu itifaki inakuwaje?
Nafasi hii napendekeza ifutwe. PM anatosha.
Niko makini sana kuliko unavyojua. Unataka nikuulize wewe mama nani? Acha ujuaji mkuu.Nani asiyemjua Pence? Be serious.Makamu wa Rais popote pale yupo kwa ajili ya kutwaa madraka,endapo Rais hatokuwepo madarakani kama ilivyoainishwa kwenye katiba.Hiyo ndio kazi ya makamu wa Rais,mengine ni ziada tu atakazopewa na Rais
Nadhani hata makamu wa Rais wa sasa wa Marekani humjui ukisoma thread hii,anaejulikana sana ni Trump,lakini yupo makamu.
Muwe mnauliza kwanza kabla ya kulipuka na thread