Nafasi ya Kudate na Mwanasiasa

Nafasi ya Kudate na Mwanasiasa

Matola, tuuuu ndo one n only for me!

Komba vipi soko lake limeshuka baada ya ze picha kuvuja?

Machemlikibatari anaelekea MCHEZO ANAUWEZA! Kazi yake na pozi zile hazikuwa lele mama kama ni yeye kweli!
 
Mimi ningekula kiti nitangaze extra heshima mjini. Mnaomwita bimkowhat? ningewapotezea ha ha ha ha
 
Umependa nini paleeee. hata kama kila ndege hutua mti aupendao isiwe sababu ya kutua kwenye mchongoma


Hahaaah we umemuona mwenzio kutopenda chochote! Kwa migulu nchemba! Haaah Mi najua hata kwenye mchongoma ndege wanatua tu! Ci wamependa?
 


The boss umenichekesha! Kwanini asiwepo hana smart phone au PC! Au hana tym! JF ilivo interesting hata kama unamajukumu mengi kiaci gani! Uko kuiba muda wa faragha na mkeo/ mumeo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Vicky Kamata nami nataka nichuane na wakubwa. Halafu yuko mkiwa ngoja nikamliwaze. Nimeshawahi vijana msiende tena niachieni niwe napasha kiporo.
 
ungetoa picha ya huyo mama, sred ilikuwa nzuri kwa kuuzia chai
Sasa nakuwa kama namtukana, hivi hawezi kuwa rika la mzazi wako?

Sorry sikumaanisha kuwa mimi ndio nimemchagua, hata hivyo nimeshaitoa
 
Matola, tuuuu ndo one n only for me!

Komba vipi soko lake limeshuka baada ya ze picha kuvuja?

Machemlikibatari anaelekea MCHEZO ANAUWEZA! Kazi yake na pozi zile hazikuwa lele mama kama ni yeye kweli!

Hamna zile picha zimemfanyia marketing kwahiyo amekuwa more valuable baada ya kufahamika rasmi kuwa na yeye ni mwanachama.
 
hivi ummy mwalimu ni naibu waziri wa nini vile...?
 
Back
Top Bottom