ungetoa picha ya huyo mama, sred ilikuwa nzuri kwa kuuzia chai
Sasa nakuwa kama namtukana, hivi hawezi kuwa rika la mzazi wako?
Kwani hananihiwi?
Mi ngechagua Ms. Mdee 😵
Jiandae kumwagiwa tindikali na mke wake anayetoka URU anapiga kizigo ofisi iliyopo karibu na Wizara ya anayoongoza mmoja wa wanaotafuta kwa udi na uvumba kuingia Magogoni na kwa sasa ni mbunge wa Kusinimwigulu nchemba
Umesahau vijana wa siku hii. Katika picha ni dogo dogo kwa hawa vijana miaka 16. Siku hizi Bibi (miaka 98) akiwa na pesa anachukuliwa na serengeti boy mikaka 20.ungetoa picha ya huyo mama, sred ilikuwa nzuri kwa kuuzia chai
Sasa nakuwa kama namtukana, hivi hawezi kuwa rika la mzazi wako?
Jiandae kumwagiwa tindikali na mke wake anayetoka URU anapiga kizigo ofisi iliyopo karibu na Wizara ya anayoongoza mmoja wa wanaotafuta kwa udi na uvumba kuingia Magogoni na kwa sasa ni mbunge wa Kusini