Nafasi ya kazi

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Jamani wana JF nina nafasi ya kazi nataka Chef - mpishi awe anajua vyakula vya Kitanzania.
Kama unamjua mtu basi tuwasiliane ama mpe namba yangu .. Sisi wote ni ndugu tusaidiane kwani kuna mtu anatafuta kazi na hana uwezo wa kuja hapa JF ..
Naona niliweka bandiko langu ila halijafikia hadhira kubwa .
Contact. 0714 925 525
Kijitonyama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom