Nafasi ya Kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya Kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by itagata, Aug 11, 2012.

 1. i

  itagata JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kampuni maarufu kwa usambazaji wa vifaa vya elektroniki, CCTV, Setallite dishes, , ZUKU TV, DSTV na mitambo ya mawasiliano, kufunga Cable TV, Security cameras kwenye mahoteli, nyumba za kulaa wageni, madukani, na majumbani inazo nafasi za kazi kwa jinsia zote:
  Ofice Manager and Activation Coordinator
  Direct Sales Representatives
  Marketing Officers
  Marketing -Freelances.

  SIFA:
  Waombaji wawe wanajua vizuri kutumia compyuta na program zote zilizomo kwenye Microsoft Office.
  Wawe wanajua taratibu za kiofisi
  Wawe ni wenye kujituma kufanya kazi bila kusimamiwa
  Wawe tayari kusafiri nje ya Dar es Salaam
  Wawe wanajua kuzungumza ki-ingereza vizuri
  Wawe wamemaliza elimu ya sekondari na kufanya kazi kama hizo au zinazofanana na hizo.
  Waambatanishe na vyeti, CV zao.
  MAOMBI YAMFIKIE MANAGER MKUU kabla ya Jumapili ya 19 August 2012 kwa anuani ifuatayo:
  gm@levictronics.com
  AU
  hatevele@gmail.com
   
 2. M

  Mudamali Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks, stay blessed
   
 3. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  asante,hebu tujaribu
   
 4. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mmh,barua je,haitakiwi mkuu?
   
Loading...