Nafasi ya kazi

Nafasi ya kazi

Prince mrema

Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
61
Reaction score
72
Bado nahtaji mfanyakazi wa kike wa kazi za ndani,,wa kufua kupika,,usafi wa ndan,na kuangalia watoto bas,watoto ni wakubwa wanasoma umri wao 4yrs &6yrs.mfanyakaz acje na mwanae au asiwe na mtoto ili kuepuka usumbufu.. mfanyakazi matibabu kila kitu ni juu yetu.. mshahara 60000/ na utaongezeka baadae kadri anavoendelea kufanya kazi,awe hapa hapa dar.au mosh arusha,tanga, Morogoro.kama yupo au una ndugu yako tunaweza kuonana no.zangu 0652400241 au 0742219042
 
Wanakuja ila hakikisha ni small small job kama ulivyoahid awali

Good morning
 
Barikiwa Sana kwa kutoa ajira!!!lakini naona kama umebagua maeneo, watu wote ni watanzania
 
Back
Top Bottom