Ww unajua kihindi??tuanzie happa kwanzaNatafuta msichana wa umri kati ya 20-35yrs ambaye Yuko vizuri sana kingereza na kihindi kwa ajili ya customer care. Anatakiwa awe ni understanding one na mwenye reasoning nzuri. Elimu angalau form four, Uzoefu si lazima sana kwani kazi atafundishwa.
Yeyote aliye interested anicheck kwa email: otmgar@gmail.com
Mkuu kufaham ama kutofaham hakuhusiani na nafasi ya huyu anayetafutwa ili kuimarisha utendaji!Ww unajua kihindi??tuanzie happa kwanza
Mkuu mshahara unategemeana na mtu mwenyewe na tutaelewana, anaweza kujua lugha zote mbili lakini productivity bado ikawa iko chini!