Nafasi ya kazi ya ulinzi

Nafasi ya kazi ya ulinzi

Wakuu anaitajika mlinzi mmoja wa kulinda eneo kubwa,garage apa dar.
Malipo 150,000/=
Kula na kulala ni apapa
Shilingi elfu tano kwa siku hahahahaa unaonaje ukilinda mwenyewe?

Mambo mengine upuuzi tu yaan mtu mzima ung'atwe na mbu mwezi mzima kwa laki 1 na nusu? Bora utafute eneo ulime bustani itakulipa, utakua huru, utapata muda wa kufanya mambo yako mengi, utapumzika vizuri na familia yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yapo tofauti sana mkuu we unaiona ndogo lakini kwa wengine nikubwa sana kuna watu wanaumwa na mbu bure sasa kwa laki na chakula kipo ataona shida gani? Kulima bustani sio rahisi kama unavyofikiri so wakati mwingine ni vyema kukausha tu

Unyonyaji huo.
Unalinda mamilioni kwa laki na nusu.
Waongeze angalau uwe elfu kumi kwa siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shilingi elfu tano kwa siku hahahahaa unaonaje ukilinda mwenyewe?
Mambo mengine upuuzi tu yaan mtu mzima ung'atwe na mbu mwezi mzima kwa laki 1 na nusu? Bora utafute eneo ulime bustani itakulipa, utakua huru, utapata muda wa kufanya mambo yako mengi, utapumzika vizuri na familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo mashauzi kibao lakini njaa kaliiiii. Mnapiga mizinga mpaka mtu akiwaona anajificha. Mnanuka madeni Tala, Branch, Timiza, M-Pawa.
 
Ni sahihi kabisa ila makampuni yaboreshe maslahi kidogo yaendane na uhalisia wa gharama za maisha.
Hiyo ndio ilikua message yangu mkuu.

Elfu 5 ni kiduchu sana kama una familia, hiyo hiyo iwe nauli kwenda kazini na kurudi home, labda makazi pia ya kupanga, hiyo elfu 5 inafika wapi?

Makampuni yanapiga profit kubwa na kuwalipa top officials mishahara mikubwa mno hebu waangalie na hawa walinzi maana nao wana ensure survival ya kampuni.

Bahati nzuri hawalazimishi mtu kufanya kazi kwao. Kuna mambo mengine madogo tu, ungekuwa mtafuta kazi ungeyajua.
 
Shilingi elfu tano kwa siku hahahahaa unaonaje ukilinda mwenyewe?

Mambo mengine upuuzi tu yaan mtu mzima ung'atwe na mbu mwezi mzima kwa laki 1 na nusu? Bora utafute eneo ulime bustani itakulipa, utakua huru, utapata muda wa kufanya mambo yako mengi, utapumzika vizuri na familia yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
“Kivuri sikuzote kinamsahaulisha mtu”, Nakusihi usikufuru mungu tena ikiwa bado unaishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo mashauzi kibao lakini njaa kaliiiii. Mnapiga mizinga mpaka mtu akiwaona anajificha. Mnanuka madeni Tala, Branch, Timiza, M-Pawa.
Mshahara huo kwanza ni fair. Kuna sehemu watu wanapokea 80-100K na bado watu wanasavaivu. Watu wanasahau kwa wengine kazi hizi ni za kujishikiza wakati unaangalia ngazi nyingine.
 
Kuna watu wanalipwa laki hapa hapa Dar tena tarehe 58 na wana familia, wanakomaa tu.
 
Mishahara ya hivi ndo inawatia vishawishini hao walinzi akija mwizi akampa mil 5 akapotea na mzigo wa mil 50 jamaa hawezi kuchomoa

Back
Top Bottom