Nafasi ya kazi ya Uhariri (Moderators) JamiiForums (post 6)

Status
Not open for further replies.
huu ni upotoshaji wa hali ya juu, hii ni fursa kwa mwanajf popote alipo ila eneo la kazi ni dar.

nawashauri member wa mikoani msisite kuomba hii ni ajila ukifanikiwa tuko member hapa wa dar na nyumba tunazo unaweza kuanzia maisha for one room free of charges.
Matola kaza ulimi na ban yako tushakutumia PM
 
Last edited by a moderator:
pia mngeongeza kipengele kingine kwamba watu wote ambao walishawahi kula ban wasiombe au hawatachukuliwa
 
mi kigezo cha mahali kimenikatia pozi ningeimoderet JF nikiwa hapa nilipo, sasa sijui mlikaa kikao gani na kuamua kua watakao omba watokee Dar ? Any way @kobun , Heaven on Earth , changamkieni fursa hiyo.
 
Last edited by a moderator:
mi kigezo cha mahali kimenikatia pozi ningeimoderet JF nikiwa hapa nilipo, sasa sijui mlikaa kikao gani na kuamua kua watakao omba watokee Dar ? Any way @kobun , Heaven on Earth , changamkieni fursa hiyo.

Kwani hujawahi kusikia "WAZEE WA DAR ES SALAAM"?.
 
Last edited by a moderator:
Ooops!... umri na location vimeninyima kazi, vigezo vingine nimo! Kila la kheri vijana!
 
Hii Post najua tu Wazee wa Makumbusho a.k.a Watoto wa Jack Zoka pale watajichomeka tu,

Hata Team Lumumba a.k.a Buku 7 FC hawatokosa pia!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom