Niwatoe wasiwasi watu wote ambao mna mashaka na Tangazo hilo sasa Kwann tangazo Lipo hivyo
Hii shule ni ya dini na mkuu wa shule anawajari na kuwapenda saana waajiriwa wake
Kutokana na mapenzi makubwa aliyonayo mkuu wa shule waajiriwa wa shule walijaa viburi Majungu na mazoea kazini
Tasisi ikajaribu jitihada mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuleta waajiriwa 4 na kuwapa vyeo vya juu ili kusaidia kuleta mabadiliko ya utendaji kazi lakini waajiriwa hao wapya nao wakamezwa kitabia na waliowakuta nao wakaanza mazoea na majungu
UAMUZI ULIOFIKIWA NA TASISI NI KUONDOA WAAJIRIWA WOTE NA KULETA NGUVU KAZI MPYA
80% YA WAAJIRIWA WANAMALIZA MIKATABA YAO KUANZIA MWEZI UJAO HIVYO BASI HAWATOONGEZEWA (WANATABIA PINDI MIKATABA YAO INAPOELEKEA MWISHO WANAKUWA WACHAPAKAZI HASWA)
KWAIYO KIFUPI TASISI INASUKWA UPYA BAADA YA USHAURI WA WAZAZI NA VIONGOZI WAANDAMIZI
Robert Heriel Mtibeli