Nafasi ya kazi ya Muhasibu wa Shule

Aisha Adam

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
460
103
Miyonga English Medium inawatangazia nafasi yakazi ya
Muhasibu anahitajika mwenye level ya Diploma ya Uhasibu(Accountancy) au Finance, awe tayari kufanya kazi Ruaha-Kilombero, Wadada na wakazi wa Kilombero watapewa kipaumbele. Tuma CV na barua ikiwa imembatana na copy ya vyeti vyake halisi haraka iwezekanavyo kwa email ifuatayo.
aishaadam0@gmail.com.
Kwa mawasiliano zaidi 0767825809/ 0719825809.
Maombi yawe addressed kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji
Miyonga English Medium School
P.O.Box 81
Kidatu.
Asante, Karibu Miyonga.
 
Attachments

  • 15016371_1223085331083633_5303297342509356315_o.jpg
    15016371_1223085331083633_5303297342509356315_o.jpg
    130.5 KB · Views: 83
Back
Top Bottom