Umewekewa namba ya kupiga simu, wewe una-DM!
Namba haipatikani mkuu.Habari?
Nahitaji vijana wawili (wakike na kiume) kwa ajili ya kunifanyia kazi ya kutuma email kwa baadhi ya wateja wangu (email marketing) kulingana na orodha ntakayowapa.
- Kwa siku wanatakiwa kutuma email 100
- Kazi ni ya siku 30 na malipo yake ni TSH 200,000
- Watahitajika kuja kufanyia kazi hizo ofisini kwangu
- Wanatakiwa kuwa na laptop inayofanya kazi vizuri
- Wanatakiwa kuwa na uwezo mkubwa wa kutumia kompyuta hasa upande wa internet and email
- Watatakiwa kuanza kazi zao saa mbili asubuhi hjadi saa sita mchana kila siku
- Watakuwa na mapumziko siku ya jumapili kwa kila wiki
- Malipo yao yatafanyika baada ya siku 30
- Nauli ya kuja na kuondoka kazini watajitegemea
Kwa watakaohitaji na wenye vigezo, wawasiliane na mteja wangu kwa namba zifuatazo :
Mr. Duwe
0687 886 949
Habari?

Nimebaki kucheka tuuUPDATE :
Tunashukuru, tumeshapata watu wa kuweza kukamilisha zoezi kutoka kwa kadhaa tuliowasiliana nao. Asanteni.
Endelea kushangaa tu, wenzako wanatia kibunda mifukoni.Atumie mashine ake
Nauli ajitegemee
Chakula pia
kazi siku 6 kwa wiki
Huku sio china mkuu
Wapi? Maeneo ganiHabari?