Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Nov 7, 2022 #1 AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika. Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi: 1) Addo 2) Pharmaceutical Dispenser 3) Pharmaceutical Assistant Maombi yote yatumwe kwenda: E-mail: mikeyamon@gmail.com WhatsApp: 0768 444 224
AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika. Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi: 1) Addo 2) Pharmaceutical Dispenser 3) Pharmaceutical Assistant Maombi yote yatumwe kwenda: E-mail: mikeyamon@gmail.com WhatsApp: 0768 444 224
R Reciprocal JF-Expert Member Joined Jan 6, 2022 Posts 334 Reaction score 529 Nov 7, 2022 #2 Mbona hujataja mshahara, ili watu wavutiwe na hiyo kazi?, Au ni kazi ya bure?
balyeb Member Joined Sep 21, 2015 Posts 74 Reaction score 18 Nov 7, 2022 #3 Mkuu Sheria ya Famasi hairuhusu Addo Dispenser kuuza kwenye Famasi
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,117 Reaction score 27,723 Nov 7, 2022 #4 Ukiwa kosa rudi taja mshahara tukulete waliokuwepo
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Nov 9, 2022 Thread starter #5 Reciprocal said: Mbona hujataja mshahara, ili watu wavutiwe na hiyo kazi?, Au ni kazi ya bure? Click to expand... Swala la mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Au wewe mshahara wako umeanikwa hadharani mahala unapofanya kazi?
Reciprocal said: Mbona hujataja mshahara, ili watu wavutiwe na hiyo kazi?, Au ni kazi ya bure? Click to expand... Swala la mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Au wewe mshahara wako umeanikwa hadharani mahala unapofanya kazi?
R Reciprocal JF-Expert Member Joined Jan 6, 2022 Posts 334 Reaction score 529 Nov 9, 2022 #6 Michael Amon said: Swala la mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Au wewe mshahara wako umeanikwa hadharani mahala unapofanya kazi? Click to expand... OK.
Michael Amon said: Swala la mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Au wewe mshahara wako umeanikwa hadharani mahala unapofanya kazi? Click to expand... OK.
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Nov 10, 2022 Thread starter #7 Sir Midabwada said: Ukiwa kosa rudi taja mshahara tukulete waliokuwepo Click to expand... Si kazi yako kunitafutia wafanyakazi, ama kujua ni kiwango gani cha mshahara nitakacho walipa, ambacho nimejiwekea katika mamlaka yangu mimi mwenyewe. Hata hivyo, swala la kiwango cha mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
Sir Midabwada said: Ukiwa kosa rudi taja mshahara tukulete waliokuwepo Click to expand... Si kazi yako kunitafutia wafanyakazi, ama kujua ni kiwango gani cha mshahara nitakacho walipa, ambacho nimejiwekea katika mamlaka yangu mimi mwenyewe. Hata hivyo, swala la kiwango cha mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,117 Reaction score 27,723 Nov 10, 2022 #8 Michael Amon said: Si kazi yako kunitafutia wafanyakazi, ama kujua ni kiwango gani cha mshahara nitakacho walipa ambacho nimejiwekea katika mamlaka yangu mimi mwenyewe. Haya hivyo, swala la kiwango cha mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Click to expand... Doh! Hii digrii yangu ya famas na bos wewe walahi bora niendelee kusakata fursa sokoni. Neno dogo tu mashambulio kibao Attachments IMG-20221110-WA0040.jpeg 669.3 KB · Views: 38
Michael Amon said: Si kazi yako kunitafutia wafanyakazi, ama kujua ni kiwango gani cha mshahara nitakacho walipa ambacho nimejiwekea katika mamlaka yangu mimi mwenyewe. Haya hivyo, swala la kiwango cha mshahara ni siri na makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Click to expand... Doh! Hii digrii yangu ya famas na bos wewe walahi bora niendelee kusakata fursa sokoni. Neno dogo tu mashambulio kibao