Nafasi ya kazi ya digital account Manager

Msela89

Member
Mar 16, 2016
96
53
Orgilvy Africa inatangaza nafasi ya kazi ya digital account Manager.Sifa za mwombaji ni kama zinavyoainishwa hapa chini
i.Awe mwanamke
ii.Elimu kuanzia ngazi ya shahada ya sayansi masoko au inayoendana na hiyo
iii.Uzoefu wa kazi angalau kuanzia miaka miwili
Kama una sifa zilizoambataishwa hapo juu tuma cv yako hapa
Email: Hemedy.Kombo@ogilvyafrica.com
IMG-20180515-WA0006.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom