Nafasi ya kazi UAE

Nafasi ya kazi UAE

Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.

Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya Astashahada, stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni kati ya dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.

Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.

Kwa Maelezo na taarifa zaidi
WhatsApp au sms:0711633656 au 0746848506

iPhone 6s
Watu wanakufa kila leo sababu za mawakala jamii yako....tunakutress nakuhakikishia ndani kunakuhusu nyauuu wewe
 
Kwanini usiweke hapa Website yao/ Contacts zao? Kwanini tukutafute kwenye hizo namba wewe wakati umesema kazi ni nje ya nchi? Jamani
 
UAE unamaaniaha United Arab Emirates au??? Kama ni huko bora niendelee kuisoma namba tu nisubiri vi-wonder...

Kama ni kifo bora kinikute hapa home kuliko kukifuata kwa maharamia huko...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Hiyo UAE ni salama kuzidi hata nchi yako, muulize mengine lakini sio usalama wa UAE hakuna nchi afrika inafikia usalama UAE
 
Ziko kampuni nyingi UAE zinaweza kukupa permit lakini sio kazi, yaani kampuni wanakupa permit ya miaka 2 ila ukifika huko utajua mwenyewe wapi utafanya kazi, uzuri kuwa kwa UAE kazi nyingi sana ila gharama za malazi ndio kubwa sana, ndio maana huko kukodi room (Studio) ni ghali na unakuta wanaishi zaidi watu 5 room Moja, na wastani wa permit zao inafika usd 3500 kwa mara ya kwanza, baada ya miaka 2 unakuwa unarenew kwa pesa ya UAE dirham 2000 kama 1m ya kwetu, ila huyu mwenye huu uzi mmh sina hakika anachotangaza
 
Yaani, kama mmeshtuka jamaa baada ya Screenshot ya Chat kapotea, hiyo inaonyesha Dalili ya Utapeli kabisa.

Kama vipi aje aseme hiyo dollar 2000 ni kweli? Au je Mtu anaweza kuwafuatilia Visa mwenyewe? Wao watoe tu barua ya mwaliko/ barua ya Ajira baasi.
 
Aise, fursa hii jaman!

Sahamani lakini, ni kazi gani inayoenda kufanywa huko? kwasababu mara nyingi huwa tunafananisha kazi na kipato.
UAE ni nchi za Kiarabu, ukishatajiwa kazi unayokwenda kuifanya usiache KUJIONGEZA
 
Mtu yeyote anayetaka kwenda huko itabidi aulize maswali muhimu yafuatayo.

1. Huyu anayetafutia kazi watu , kampuni yake imesajiliwa Tanzania kufanya kazi hizo na wameingia mkataba na wizara ya Kazi, ajira ...
2. Wizara ya mambo ya Nje imefahamishwa juu ya kampuni, wanaotafuta wafanyakazi toka Tanzania.
3. Hiyo kampuni ni kampuni gani na inafanya shughuli gani huko UAE na imesajiliwa huko UAE?
4. Wanatafuta wafanyakazi wa sifa zipi?
5. Usaili wa kazi unafanyika wapi?
6. Mkataba wa kazi unasainiwa kwa sheria ya ajira ya wapi
7. Wameshawahi kuajiri watu na hasa kutoka eneo la Afrika Mashariki na Tanzania kwa ujumla.

Yapo maeneo kadhaa ya kuuliza maswali, ukijiridhisha na angalau hapo juu , unaweza kuamua kama inafaa au vipi.

Kila la kheri, wanaotaka kazi UAE.
Umenena vyema, isije ikawa ukifika kule passport inazuiliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule utaenda teswa na hurudi huku mzima
 
Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.

Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya Astashahada, stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni kati ya dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.

Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.

Kwa Maelezo na taarifa zaidi
WhatsApp au sms:0711633959 au 0742858500

iPhone 6s
hamna kazi hapo wacha porojo!
peleka ndugu zako!,ukikosa nenda na mudi katangazen mtamban mtapata watu!
 
Mi nataman kwenda lakin mm mkristo isis wakijua mimi mkristo watanichinja maana wataniita aramu kafili dah nitafutie za ulay bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.

Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya Astashahada, stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni kati ya dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.

Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.

Kwa Maelezo na taarifa zaidi
WhatsApp au sms:0711633959 au 0742858500

iPhone 6s
bora kwendelea kuuza dagaa bongo
Utapeli Uu zilipendwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom