nafasi ya kazi- secretary_1post

nafasi ya kazi- secretary_1post

tafakari kali

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
211
Reaction score
39
Kampuni ya MMP ARCHITECTURES (iliyopo mwenge na inajihusisha na uhandisi*ubunifu majengo )inayofura kutangaza kuwa muda wa maombi umesogezwa paka tarehe 27/03/2013.
Kumbuka nafasi ni moja tu.
Pia waombaji tumeni barua ya kuomba kazi mkiambatanisha na cv zenu kwa e_mail
fredymsigwa@gmail.com
(tafadhari vyeti viwe scaned na si copy ndo iwe scaned)
Mwenye uzoefu wa kiushindani atapewa kipaumbele,tuna ahidi attractive package.

*mliokwisha tuma tafadhari msitume tena*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom