Nafasi za kazi ya udereva mwisho wa kutuma tarehe 21 mwezi huu wahi sasa

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
428
575
10438_g15_b.jpeg

Sifa za muajiriwa
1.Awe ame hitimu kidato cha nne

2.Awe na leseni ya daraja “c” na iwe imethibitishwa na kituo husika kama VETA

3.Awe na ujuzi wa daraja la 3 katika kuendesha na kujua matatizo mbalimbali ya magari.

4.Awe ana jua lugha ya Kiswahili na kingereza

Umri wa muajiriwa usiwe zaidi ya miaka 45

Majukumu ya muajiriwa
1.kuendesha magari ya makampuni

2.kuhakikisha gari lipo katika usalama mzuri

3.kufikisha ujumbe na vifaa alivyo pakia katika gari kwa wakati maalumu.

4.kufanya kazi nyingine ndogo ndogo atakazo ambiwa.


JINSI YA KUTUMA MAOMBI YAKO
1.Watu wote walio na uhitaji na kazi hii wanapaswa kutuma maombi yao kabla ya tarehe 21.3.2018

2.muombaji wakazi hii anapaswa kuambatanisha na cv yake ambapo ataeleza jina lake kamili,namba ya simu,na sanduku lake la posta.

3.muombaji awe na vitu vifuatavyo.
>cheti cha kidato cha nne
>cheti cha kuzaliwa
>leseni ya udereva
>cheti cha kazi ya udereva yani (professional certificates)

4.muombaji anatakiwa aambatanishe na passport size moja

5.waombaji wote mnakumbushwa kuweka kumbukumbu namba sahihi wakati wa kutuma barua zenu za maombi ya kazi.
Pia barua zenu zinatakiwa ziwe fupi.watakao andika barua ndefu hawata pokelewa.

6.watakao fanikiwa kupata kazi hii wanatakiwa wawe tayari kufanya kazi katika ofisi ya TARURA zilizopo katavi.

7.walio wahi kufanya kazi kama hii katika sehemu zingine tofauti kama kwenye makampuni,na wakawa na sifa mbaya hawata pokelewa.

8.Mwisho wa kutuma maombi yako ni tarehe 21.machi,2018 saa 9:00 mchana.

“kampuni hii haina ubaguzi wowote wanawake tunawashauri watume maombi kwa wingi wote mtapata kazi”
Tuma maombi hapa NAFASI MPYA ZA KAZI YA UDEREVA ZIMETOKA WATU (6) WANAHITAJIKA WAHI SASA - NAFASI ZA KAZI
 
Uzi utadoda huu.si tunataka nyuzi za mahaba na ushilawadu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom