Nafasi ya kazi, mtu wa stationary

Nafasi ya kazi, mtu wa stationary

Joined
Aug 26, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Sifa.Awe amewai kufanya kazi stationary kuanzia mwaka mmoja au miwili nakuendelea, awe amewai kufanya kazi ktk mazingira ya chuo kikuu, awe na elimu kidato cha nne na kuendelea na pia awe mkazi wa MWANZA . Umri awe na miaka kati ya 18_25 .Office ipo eneo la SAUT MALIMBE MWANZA .Msichana atapewa kipaumbele zaidi .Kwa wale ambao mpo nje ya eneo la mwanza mnaweza kujaribu labda unaweza kupata mwisho wa mawasiliano ni trh 15/9/2014
WASILIANA NAMI KWENYE'
0712240629
0762825501
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom