Nafasi ya kazi msichana

Nafasi ya kazi msichana

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
Nina chumba kimoja kazi naona ni nyingi nahitaji msichana wa kazi kama kwao nimbali atalala kwenye kochi nawakilisha
 
Nina chumba kimoja kazi naona ni nyingi nahitaji msichana wa kazi kama kwao nimbali atalala kwenye kochi nawakilisha
aisee yupo miriam hapa and she badly needs the job... nimeku PM
 
Unahitaji msichana wa kazi au mtumishi wa ndani?
 
Kuna baunsa moja la KIPEMBA, lipo hapa jitu miraba minne linaweze kukusaidia hizo kazi za ndani,pia halija-oa je upo tayari we shida yako si kazi zifanyike...
 
Kuna baunsa moja la KIPEMBA, lipo hapa jitu miraba minne linaweze kukusaidia hizo kazi za ndani,pia halija-oa je upo tayari we shida yako si kazi zifanyike...

mweh! Mweh! Mweeeeh! Kaji kweikwei
 
tei...Tei...Tei...! Jaman anahtaji mschana wa kaz kwel na co mzembe...
Hiyo kaz mh!
 
Back
Top Bottom