Nafasi ya kazi IT Technician

kasi

Member
Jan 13, 2014
26
5
1. Utangulizi:
Komu college of technology and management(kctm) ni chuo kilichopo mbeya mjini.Chuo hiki kimesajiliwa na serikali kutoa elimu mpaka diploma.
Uongozi wa chuo unatoa nafasi ya kazi kama ilivyoainishwa hapa chini.

2. Nafasi ya kazi: ICT technician

3. Vigezo

I. Muhitimu wa cheti (certificate level 4) au veta kwenye uwanja wa ict/it .
Ii. Awe mtanzania asiyezidi miaka 30.
Iii.Mwenye uwezo wa kujituma na mbunifu.
Iv. Awe na uwezo wa kufanya kazi za computer network, hardware& software installation and repair.
V. Awe anauwezo mzuri wa graphics design na matumizi ya microsoft office.

4. Mshahara:
Mshahara ni mzuri kulingana na ngazi za mishahara za taasisi.

Maombi yatumwe kupitia email mafunzo@komu.Ac.Tz kabla ya tarehe 20/04/2021.
 
Back
Top Bottom