Nafasi ya kazi: Afisa masoko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi ya kazi: Afisa masoko

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Enny, Feb 29, 2012.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kampuni ya usafirishaji mizigo inatafuta afisa masoko mwenye uzoefu na kazi za usafirishaji mizigo.

  Kampuni ni mpya, hivyo kuna changamoto nyingi hasa katika kutafuta masoko.
  Ipo dar es salaam, upanga.

  Kama upo interested, tafadhari ni pm.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Haina jina hyo kampuni?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  labda na jina bado hajapata..
   
 4. k

  kelvinkipeta Senior Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  toa upuuzi hapa kamuni haina jina wala contact,jipange wewe,upanga kubwa bwa mdogo usichezee raia akili tunahasira ka tumemwagiwa maji ya betri kama umechoka si ukalale uwape mbu faid abwana kuliko kutype uncertainities kama hizo mzee
   
Loading...